Header Ads Widget

Recent in Sports

test

Bei, Ladha na Chaguo; Mambo Yanayowafanya Watu Waizungumzie ORIJIN.

Na Mwandishi Wetu.

Mbali na ladha yake, ORIJIN imeendelea kujadiliwa kutokana na kuwa na chaguo mbalimbali vinavyompa mtumiaji nafasi ya kuamua kulingana na mahitaji yake. 


Kwa sasa ORIJIN Bitters ya mililita 750 inauzwa kwa Sh15,000, ORIJIN Bitters ya mililita 200 kwa Sh5,000 huku ORIJIN Mixed (RTD) ikipatikana kwa Sh3,000. Hali hiyo imeifanya bidhaa hiyo kuwafikia watumiaji wenye mahitaji tofauti.


Licha ya kupita kwa siku kadhaa tangu uzinduzi wake, maoni kuhusu ORIJIN bado yanaendelea kuongezeka, ishara kuwa bidhaa hiyo imeendelea kuvutia umakini wa walaji nchini

Bei, Ladha na Chaguo; Mambo Yanayowafanya Watu Waizungumzie ORIJIN. Bei, Ladha na Chaguo; Mambo Yanayowafanya Watu Waizungumzie ORIJIN. Reviewed by Adery Masta on August 09, 2026 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.