Header Ads Widget

YAS WAZIDI KUMWAGA ZAWADI ZA FEDHA , SIMU JANJA NA GARI KWA WATEJA WAO , MAGIFTI YA KUGIFTI WIKI YA 10

Recent in Sports

test

 Na Mwandishi Wetu.

Mtandao namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Yas Tanzania , kupitia Kampeni yake ya MAGIFTI YA KUGIFTI umeendelea kukonga mioyo ya wateja wake kwa kuwazawadia zawadi mbalimbali za Fedha Taslimu Milioni 1 - 5 , Simu Janja na Zawadi za Magari Mapya kabisa , ambapo hadi sasa wiki ya 10 Mtandao huo umeshatoa zawadi za Fedha zaidi ya Milioni 250 , unachotakiwa kufanya ili kuibuka mshindi wa zawadi hizo ni kununua Vifurushi kupitia MIXX BY YAS ( zamani Tigo Pesa ) , kufanya miamala , malipo ya Kiserikali n.k ndo siri pekee ya ushindi .

                              

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi kwa baadhi ya Washindi wa Wiki hii ya 10 Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Yas - Bi. Mwangaza Matotola amewasihi wateja , na watanzania kwa ujumla kufanya miamala ya Mixx by Yas kwa wingi ndani ya Wiki hizi mbili zilizobaki ili kujishindia simu , Fedha na Zawadi kubwa ya Gari. 













YAS WAZIDI KUMWAGA ZAWADI ZA FEDHA , SIMU JANJA NA GARI KWA WATEJA WAO , MAGIFTI YA KUGIFTI WIKI YA 10 YAS WAZIDI KUMWAGA ZAWADI ZA FEDHA , SIMU JANJA NA GARI KWA WATEJA WAO , MAGIFTI YA KUGIFTI WIKI YA 10 Reviewed by Adery Masta on January 18, 2025 Rating: 5

Post Comments

Powered by Blogger.