Header Ads Widget

Recent in Sports

test

TIGO YASHIRIKI MBIO ZA SELOUS MSIMU WA SITA

 Na Mwandishi Wetu.

Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imeshiriki Msimu wa Sita wa Mbio Maarufu za SELOUS MARATHON zilizofanyika Leo , Agosti , 24 , 2024 Mkoani Morogoro. Kampuni hiyo imeshiriki mbio hizo kwa kutoa huduma mbalimbali za Kidigitali kwa Washiriki kabla, wakati na baada ya Mbio . 







TIGO YASHIRIKI MBIO ZA SELOUS MSIMU WA SITA TIGO YASHIRIKI MBIO ZA SELOUS MSIMU WA SITA Reviewed by Adery Masta on August 24, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.