Header Ads Widget

WAZIRI WA UTALII ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA TIGO KILI FAIR 2024

Recent in Sports

test

                         

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Bw. Daniel Mainoya, jinsi Tigo na SMZ wanaweza kushirikiana kukuza utalii, katika banda la Tigo, lililopo Viwanja vya Magereza Kisongo - Arusha Tamasha kubwa la Utalii Afrika Mashariki ( Kili Fair 2024. )


.
WAZIRI WA UTALII ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA TIGO KILI FAIR 2024 WAZIRI WA UTALII ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA TIGO KILI FAIR 2024 Reviewed by Adery Masta on June 09, 2024 Rating: 5

Post Comments

Powered by Blogger.