Header Ads Widget

Recent in Sports

test

TIGO WATOA MSAADA WA VIFAA NA BIDHAA ZA ZAIDI YA MILIONI 10 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KARATU

                       

Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya akakibidhi baadhi ya vifaa,vilivyo tolewa na kampuni ya mawasiliano Tigo, kwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu, MHE. DADI HORACE KOLIMBA, ikiwa ni msaada kwa wahanga/waathirika wa mafuriko,wilayani Karatu.


Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imetoa msaada wa vifaa na bidhaa zenye thamani ya  zaidi ya shilingi Milioni 10 kwa waathirika wa Mafuriko Wilayani Karatu , Msaada huo umewasilishwa na wafanyakazi wa Tigo kwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu kwa lengo la kuwafikia kiurahisi waathirika wa Mafuriko hayo.

Bi. Amina Mohamed Mkazi wa Karatu ambaye ni mmoja wa  waathirika wa Mafuriko akiishukuru kampuni ya  Tigo kwa msaada huo na KUOMBA Serikali iwasaidie kutoa maji kwani waathirika wanaangaika.
TIGO WATOA MSAADA WA VIFAA NA BIDHAA ZA ZAIDI YA MILIONI 10 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KARATU TIGO WATOA MSAADA WA VIFAA NA  BIDHAA  ZA ZAIDI YA MILIONI 10 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KARATU Reviewed by Adery Masta on May 17, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.