Header Ads Widget

YAS WASOGEZA HUDUMA MAASAI TOURISM CULTURAL FESTIVAL ARUSHA

Recent in Sports

test

  .


Daniel Mainoya, Kaimu Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kaskazini ( kulia ) , akimwelezea Boniface Kadili, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Tanzania kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kuhusu bidhaa na huduma za Yas wakati wa Maasai Tourism Cultural Festival inayofanyika katika Uwanja wa Magereza, Kisongo,Arusha. Yas inadhamini tamasha hili kwa lengo la kukuza na kuhifadhi utamaduni wa Kitanzania.




YAS WASOGEZA HUDUMA MAASAI TOURISM CULTURAL FESTIVAL ARUSHA YAS WASOGEZA HUDUMA MAASAI TOURISM CULTURAL FESTIVAL ARUSHA Reviewed by Adery Masta on February 15, 2025 Rating: 5

Post Comments

Powered by Blogger.