Header Ads Widget

Recent in Sports

test

MAGIFTI DABO DABO YA TIGO KULIPA ADA YA MSHINDI OLIVIA WA BUKOBA

 

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kulia) akimkabidhi mfano wa hundi Shilingi milioni kumi Mshindi wa Magifti Dabodabo mkazi wa kijiji cha Rushaka, Kitongoji cha Bweigilo kata ya Bwendangabo wilayani Bukoba mkoani Kagera Olivia Pastory baada ya kuibuka mshindi katika hafla iliyofanyika nyumbani kwao mshindi,katikati ni Meneja wa Tigo Mkoa wa Kagera Robert Paul akishuhudia.

Na Mwandishi Wetu.

Kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Tigo kupitia promosheni yake ya Magifti Dabodabo imemkabidhi mkazi wa kijiji cha Rushaka wilayani Bukoba mkoani Kagera Olivia Pastory kiasi cha Shilingi Milioni kumi baada ya kuibuka mshindi

Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa amewakumbusha wakazi wa kijiji hico kuendelea kufanya miamala mbalimbali kupitia mtandao wa tigo ili kujiongezea nafasi ya kushinda zawadi.

Mshindi wa Magifti Dabodabo Olivia Pastory akaeleza namna pesa hiyo itakavyomsadia kulipia ada yake na wadogo zake

MAGIFTI DABO DABO YA TIGO KULIPA ADA YA MSHINDI OLIVIA WA BUKOBA MAGIFTI DABO DABO YA TIGO KULIPA ADA  YA MSHINDI OLIVIA  WA BUKOBA Reviewed by Adery Masta on January 11, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.